Kuhisi maumivu mwilini

Hatua Tano za Kuongeza Damu Mwilini

Post a Comment. Tishu za ubongo zinasemwa kuwa na mpaka asilimia 85 za maji. Wakati awamu za kudadisi mwili wa binadamu zilipoanza, sababu ya vigezo vya kisayansi na kwa uelewa mkubwa katika kemia ulipofikiwa, moja kwa moja ilikuja kudhaniwa kwamba uelewa ule ule ambao ulifikiwa katika kanuni za kikemia ukahusishwa na vimumunyishwaji vya mwili. Kwahiyo ilichukuliwa kuwa vimumunyishwaji mifupa na nyama nyama za mwili ndivyo vinavyodhibiti kazi zote za mwili. Mwanzoni kabisa mwa tafiti juu ya mwili wa binadamu, maji ya mwili yalichukuliwa tu kama kimumunyishaji, kiziba nafasi na kama njia tu ya kusafirishia — mawazo sawa na yaliyozalishwa katika majaribio ya kitesti tyubu. Hakuna kazi zingine mhimu za maji zilizojadiliwa kuhusiana na maji the solvent. Uelewa wa msingi katika utabibu katika nyakati hizi — ambao umerithiwa toka programu za kielimu zilizoanzishwa mwanzoni katika kisomo cha mfumo systematic learning pia huvichukulia vimumunyishwaji nyama na mifupa kama ndivyo vinavyodhibiti mwili na vimumunyishaji maji ambayo ndiyo asilimia 75 ya mwili kama njia tu ya kusafirishia malighafi mwilini. Mwili wa binadamu sasa unafikiriwa kuwa ni testityubu kubwa iliyojazwa vitu vigumu nyama na mifupa vya asili tofauti tofauti. Katika sayansi, imedhaniwa kuwa ni vimumunyishwaji vitu ambavyo huyeyuka au kubebwa katika damu na umajimaji ndani ya mwili ndivyo ambavyo huzidhibiti na kuziongoza kazi zote zinazofanywa na mwili. Hii inajumuisha pia udhibiti wa kiasi cha maji cha mwili the solvent ambacho mpaka sasa imefikiriwa kuwa kinadhibitiwa vizuri na mwili. Imedhaniwa hivyo sababu maji yanapatikana kirahisi tu na hayauzwi kivile, hivyo mwili hauwezi kupungukiwa na kitu ambacho kinapatikana kirahisi!. Chini ya dhana hii potofu, tafiti zote kuhusu mwili wa mwanadamu zimeelekezwa katika kutafiti kitu chochote fulani ambacho kinadhaniwa ndicho kinachosababisha ugonjwa fulani. Kwahiyo, vyote vinavyodhaniwa kuwa na uwezekano wa kusababisha ugonjwa fulani na mabadiliko ya kielementi vimejaribiwa bila suluhisho lenye jibu moja hata katika ugonjwa fulani mmoja. Vidonda vya tumbo havitibiki dawa za kudhibiti asidi antiacids ni lazima ziwe karibu na mgonjwa. Maumivu ya mishipa hayatibiki na hatimaye inaweza kumfanya mtu kiwete na kadharika. Kwa kuegemea dhana hii ya mwanzo juu ya kazi za maji mwilini, imekuja kuzoeleka kuchukulia kitendo cha mdomo uliokauka kuwa ndiyo ishara za mwili kuhitaji maji au kuwa na kiu cha maji ambayo imedhaniwa zaidi kuwa yanadhibitiwa vizuri ikiwa hisia za kukauka mdomo hazitokei — kwa sababu pengine maji ni bure na yanapatikana kirahisi. Hili ni kosa la kipuuzi na ni dhana inayoleta mkanganyiko mkubwa katika taaluma ya kitabibu na ndiyo inayohusika katika suala zima la kukosa mafanikio katika kupata suluhisho la kudumu katika kuzuia na kuponya magonjwa katika mwili pamoja na tafiti zote hizo na zenye gharama kubwa. Batmanhelidj tayari amechapisha chapisho lake juu ya utafiti wa ki-kliniki wakati alipotibu zaidi ya watu waathirika wa vidonda vya tumbo kwa kutumia maji pekee. Anasema aligunduwa kwa mara ya kwanza katika taaluma ya kitabibu kuwa ugonjwa huu maarufu wa vidonda vya tumbo ukiitika wenyewe kwa maji pekee. Chini ya mazingira hayo hayo na katika mazingira ya ki-kliniki, dalili zingine za magonjwa zilionekana zikiitika zenyewe kwa maji pekee. Utafiti mkubwa umethibitisha uchunguzi wa ki-kliniki wa dr. Batman kwamba mwili una miliki ishara changamano kabisa za ishara za kiu — mfumo ishara shirikiano wakati wa udhibiti wa kiasi cha maji kinachopatikana wakati wa upungufu wa maji mwilini dehydration.

Tag: Dawa za kuondoa uchawi mwilini


K ATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy. Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo: Mtu kuhisi ganzi, kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika, maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi. Miongoni mwa mambo ambayo husababisha neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:. Kupungua kwa virutubisho mwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, Vitamin B Complexmatumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na Virusi vya Ukimwi, uzito mkubwa wa mwili, ugonjwa wa kisukari, diabetic polyneuropathy na shinikizo la damu. Kufa ganzi katika mikono na miguu kunaweza kuwa kumesababishwa na sababu kadhaa, hasa za mishipa ya neva kuwa na matatizo. Mikono au miguu kuhisi kama inachomwa sindano Paresthesia ni moja ya dalili ya ganzi. Ganzi ya mikono na miguu husababishwa na kuwa na lishe duni kwa ugonjwa au mishipa ya neva kuwa na hitilafu na machafuko ya mfumo. Upungufu wa vitamini muhimu kama B5 vitamini, B6 na B12, vitamini A na vitamini D unaweza kusababisha kupata ganzi ya mikono na miguu. Kwa hiyo ni muhimu sana kula vitamini kwa ajili ya kutibu ganzi ya miguu na mikononi. Ganzi katika mikono na miguu ni dalili muhimu ya ugonjwa wa kisukari, hasa aina ya II kisukari ambayo husababisha mfumo wa neva malfunction na hatimaye husababisha uharibifu wake. Ganzi katika mikono na miguu wakati umelala ni dalili muhimu ya multiple sclerosis, hasa wakati wa hatua yake ya awali. Multiple Sclerosis inasababisha uharibifu wa neva, pia kitaalamu inajulikana kama neurodegeneration. Syndrome Raynaud ni machafuko katika damu kutokana na joto kuwa chini sana kunakosababishwa na spasms ambazo huzuia au kukataza mtiririko wa damu wa kawaida mwilini hasa kuelekea kwenye vidole na miguuni hali ambayo inaongeza ganzi katika vidole vya mikononi na miguuni. Kuna kitu kinaitwa kitaalamu Carpal syndrome, hii husababishwa na kuumia kwa neva kuzunguka mkono na huweza kuleta ganzi sehemu hiyo. Mishipa ya ateri ikiwa na hitilafu pia husababisha ganzi ya mikono na miguu. Kifupi ni kwamba kuna sababu nyingi za ambazo zinaweza kusababisha hisia ya ganzi katika mikono na miguu. Baadhi ya hizo ni pamoja, kuumwa na wadudu au wanyama, athari za aina fulani ya dawa, kunywa pombe kupita kiasi, uvutaji wa tumbaku au sigara na kadhalika. Kuondoa ganzi katika mikono na miguu itahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu baada ya kujua chanzo cha hali hiyo kutokea kwani kama tulivyoona hapo juu, sababu za maradhi haya zipo nyingi. Lakini hali hiyo ikianza kujitokeza unawea kufanya masaji eneo husika kwa kuikandakanda kama huduma ya kwanza. Kufanya hivyo huboresha mzunguko wa damu, na kusababisha ongezeko katika mtiririko wa damu kwenye mishipa na hivyo inaweza kuondoa ganzi. Uonapo dalili hizo nenda kaonane na wataalamu wa afya kwa ushauri hasa kuhusu lishe na matibabu. Install Globalpublishers Application. DALILI Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo: Mtu kuhisi ganzi, kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika, maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi. Search for:.

UMUHIMU WA MAJI KWA AFYA NA DAWA


Anemia au Anaemia ni hali inayotokea pale kiasi cha seli nyekundu za damu zinapokuwa chache kuliko kawaida au seli hizi nyekundu zinapungukiwa na chembechembe za hemoglobin. Kuishiwa damu hupelekea mwili kuwa mchovu muda mwingi, misuli kuishiwa nguvu, mood kubadilika na kupata ganzi mara kwa mara. Tatizo linavokuwa kubwa zaidi linaweza kupelekea matatizo kwenye moyo, ubongo na viungo vingine vya mwili. Anemia ni hali ya upungufu wa chembechembe ya hemoglobin kwenye seli nyekundu za damu. Hemoglobin ni aina ya protini iliyoundwa na madini ya chuma kwa wingi inayohusika na kusafirisha hewa safi ya oxygen kwenye damu. Chembechembe hii ndio inayoipa damu wekundu wake. Kumbe basi kwa maelezo haya ni kwamba mtu mwenye Upungufu wa damu anemia anapata upungufu wa hewa ya oxgen mwilini kutokana na kwamba vibeba oxygen ni vichache. Pia chembechembe hizi za hemoglobin zinahusika katika kupambana na maradhi, kuganda kwa damu na hizo kuzuia damu kuvuja sana pale mtu anapopata ajali. Upungufu wa madini ya chuma ni chanzo kimojawapo cha kupungukiwa damu mwili kwa mujibu wa taasisi ya kupambana na magonjwa ya Marekani Center of disease control. Wanawake ni kundi lenye hatari zaidi kupata upungufu huu wa damu kutokana na hedhi. Pasipo uwepo wa vibeba oksijeni kwenye damu, maeneo mbalimbali ya mwili yatakosa hewa na kupeleka ufanisi kupungua, sehemu hizi ni misuli, viungo kama moyo na ubongo, tishu mbalimbali na seli za mwili. Dalili kuu ni kuhisi umechoka na mwili kutokuwa sawa muda mwingi. Zifuatazo ni dalili za upungufu wa damu anemia. Muhimu kufahamu ni kwamba anemia huanza taratibu bila kuonesha dalili zozote lakini tatizo huwa linazidi kuwa kubwa kadiri muda unavoenda na hasa pale ikiwa kuna vitu hatarishi zaidi ya kimoja vinavyopelekea anemia. Kuna sababu kuu tatu za kwanini umepata anemia upungufu wa seli nyekundu za damu ambazo ni mwili kutotengeneza seli nyekundu za kutosha, kupoteza damu nyingi kwenye ajali na mwili wenyewe kupambana na seli nyekundu za damu. Hapa chini ni mazingira na vihatarishi vinavyopelekea anemia. Kuna kitu cha msingi zaidi unatakiwa kufanya kwenye lishe yako, ukiachilia mbali kula vyakula vyenye madini ya chuma ni muhimu pia kuacha kutumia vyakula vilivyosindikwa kiwandani kama nafaka iliyosafishwa, sukari na vyakula vya makopo, vyakula hivi kuleketeza mcharuko inflammation kwenye mwili, uzito mkubwa na kitambimwili kuwa mchovu na mwili kushambuliwa mara kwa mara na bacteria na fangasi. Fangasi wa Candida wanapokuwa kupitia kiasi huvuruga pH na utando laini kwenye tumbo na utumbo na hivo kupekelea sumu na vitu visivyohitajika kuingia kwenye damu kupitia ukuta wa tumbo. Magonjwa mbalimbali ya mfumo wa chakula kama leak gut, Irritable bowel syndrome na pia anemia huletekezwa na kuvurugika kwa mazingira ya tumbo. Kama unapata dalili za weupe kwenye ulimi au kwenye koo basi hizi ni kiashiria kwamba una fangasi. Japo unaweza kutubu tatizo la kuishiwa damu ukiwa nyumbani kwa kurekebisha lishe kuna umuhimu pia wa kuongea na dactari wako akupe mwongozo na ushauri wakati unaendelea na lishe. Ni muhimu kupata usaidizi wa Dactari kutokana na kwamba kuishiwa damu inaweza kuwa ni dalili ya tatizo kubwa la kiafya. Skip to content. Upungufu wa damu mwilini Anemia Anemia au Anaemia ni hali inayotokea pale kiasi cha seli nyekundu za damu zinapokuwa chache kuliko kawaida au seli hizi nyekundu zinapungukiwa na chembechembe za hemoglobin.

Hesperian Health Guides


Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, Vitamin B Complex. Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva. Ugonjwa wa kisukari, mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, diabetic polyneuropathy. Shinikizo la damu, mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu High blood pressure pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva. Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, kama ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha na fuata maelekezo ya wataalamu wa afya kuhusu matumizi sahihi ya dawa na kanuni za kukufanya uishi huku ukiwa na afya bora. Chanzo: Tanzlife Company Limited. Naitwa maximillian, mwanangu mkono mmoja hauna nguvu yaani kama vile ana polio, na madaktari wanasema hauna shida ni mazoezi tu yanahitajika, ninajitahidi kumfanyia mazoezi lakini badiliko sioni, nifanyeje tafadhali.!!! Asante sana umenisaidia sana. Tatizo la kuhisi miguu inawaka moto ninalo na nina uzito zaidi ya kg hivyo kwa maelezo haya machache umenisaidia sana. Nasi tunashukuru na tunaamini kuwa japo kwa uchache umeweza kufahamu ni wapi au ni kitu gani cha kuanza nacho katika kutatua tatizo hilo, pole sana. Mimi pia nasumbuliwa na tatizo la kuhisi kama miguu na mikono kama inawaka moto na nimejaribu kutumia dawa nilizo elekezwa na wataalamu ila bado tatizo linaendelea, nifanyeje? Kwanza pole sana kwa usumbufu na maumivu unayoyapata kutokana na tatizo hilo, katika kutatua au kutibu tatizo lolote lile jambo la msingi kujua kwanza ni chanzo cha tatizo husika, baada ya hapo ndipo matibabu huchukua nafasi yake, labda pamoja na kupewa dawa za kutumia, je ulifahamishwa chanzo cha wewe kupata hayo maumivu au kuhisi viungo kufa ganzi. Litakuwa ni jambo la kubahatisha endapo tutakwambia fanya kitu fulani au tumia dawa fulani wakati hatujajua chanzo cha tatizo lako ni nini, tukishajua chanzo ni nini tutaweza kukwambia kitu cha kufanya. Ila pole sana ndugu. Jackson Nyabusani. Asante sana…jaman naombeni msaada mie nina matatizo Miguu imekufa ngazi na vidole kuuma sana na sasa ni miaka 3. Nimelipata tatizo hili baada ya kujifungua motto. Hospital nimeenda nikapewa Dawa za vitamin ambazo unakunywa mwezi mzima pia nimechoma name sindano. Vilevile nimepima sukari poa! Jarman naomben ushauri name msaada kama kuna mtu anafahamu ni wapi tiba hii naweza pata. Pole sana kwa tatizo hilo, unaweza kuwasiliana nasi kupitia number hii tukaona namna sahihi ya kuweza kukusaidia au kukushauri, pole sana. Nashukuru kwa hayo,tatizo langu kubwa ni mikono kuwa ya baridi sana wakati wote,lakini haifi ganzi. Naomba ushauri ama tiba,asante. Nasumbuliwa miguu na mikono kwenye joint za miguu na mikono pia, nyama za kwenye misuli zimelainika sana na napata maumivu makali je hili ni tatizo gani? Kwanza pole sana kwa maumivu na usumbufu unaoupata. Matatizo ya joints huweza kusababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo kushambuliwa na vijidudu au bakteria ambao huaribu na kudhoofisha utendaji kazi na hata muonekano wa joints za miguu na mikono, pia matatizo haya inawezekana yakasababishwa na kuzidi kwa kemikali katika damu ambazo kwa kitaalamu huitwa Uric Acid, hivyo napenda kukushauri kuwa, fika katika hospitali yoyote iliyo karibu nawe ili uweze kufanyiwa uchunguzi zaidi na kujua chanzo cha tatizo ni nini, ila miongoni mwa magonjwa yanayopelekea mtu apate maumivu ya joints kitaalamu ni Gout kuzidi kwa uric acid katika damu pamoja na Rheumatoid Arthritis kushambuliwa kwa joints ambapo moja ya kisababishi inaweza kuwa ni bakteria. Hi admin me nasumbuliwa na tatizo la miguu kuuma kuwhumanashwa na kuishiwa nguvu kabisa mpaka kuna mdaa nasimama nahisi kuanguka naomba ushauri wako nifanyeje.

Tag: kuhisi vitu vinatembea mwilini

MAUMIVU ya mgongo hujitokeza zaidi kwa watu wa umri wa kuanzia miaka na kuendelea na ndiyo mara nyingi wanaofika hospitalini kwa ajili ya matibabu. Baadaye nusu ya wagonjwa hupata maumivu makali kuliko ilivyokuwa mwanzoni na ikitokea maumivu yakawa sugu huambatana na matatizo mengine kama vile kukosa usingizi, kusinzia, kulala lakini usingizi huwa mfupi hii ni kutokana na kushtuka mara kwa mara nyakati za usiku. Ukiwa katika umri mkubwa unaweza ukaanza kupata tatizo la maumivu ya mgongo ambayo hukomaa na kuwa sugu. Wengi huumwa mgongo kutokana na kuwa na uzito mkubwa na kutofanya mazoezi, muda mwingi kuketi kwenye kiti kilichosimama nyuzi 90 ukiwa unafanya kazi ya kuandika au kuchapa kazi au kuchora katika kompyuta huku umeinama muda mwingi pengine huku ukichambua majalada lukuki. Lakini pia kusafiri muda mrefu huku muda mwingi ukiwa umeketi kwenye kiti cha gari, ni sababu nyingine ya kuugua mgongo hasa kama mnapita katika barabara zisizo na lami zenye matuta na mashimo. Kuugua mgongo kunasababishwa na kazi tunazofanya, aina za kazi tunazofanya, kusogea kwa umri, kutokuwa na muda wa mazoezi, kuzaa mara kwa mara, zaidi ya yote miili yetu na mienendo yetu kimaisha ikichangia kwa kiasi kikubwa. Maumivu ya mgongo ni moja ya matatizo ya kiafya yanayojitokeza mara kwa mara na huathiri zaidi misuli na mifupa ya mgongo. Tatizo hili Iinawaathiri karibu asilimia 40 katika moja ya hatua za maisha ya watu Maumivu ya mgongo yapo ya kawaida, yapo ya kati na maumivu sugu ambayo ni zaidi ya wiki Maumivu haya yakiainishwa zaidi yanaweza kutokana na kupata majeraha ya kawaida au mambo yasiyo ya majeraha na chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa eneo husika au maumivu yalitokea mahali pengine mwilini. Mara nyingi maumivu haya chanzo na sababu hasa hakigunduliki moja kwa moja na yakijitokeza mapema, inaaminika kuwa chanzo chake huenda yametokana na kujeruhiwa kwa misuli au mifupa ya mgongo. Umbile la mgongo ni kama vile herufi S likiwa na maeneo makuu matano, kitaalamu huitwa cervical, thoracic, lumber, sacral na coxgeal. Mgongo unaundwa na pingili za vifupa 24 vilivyoshikizwa na kutengeneza maungio, pia kuna vifupa tisa vilivyoshikamana katika mwishilio wake ndiyo unaona kama vile mkia, ndiyo inafanya jumla ya mifupa Katikati ya pingili hizi huwa na sahani kama plastiki, pia huwa na matundu ya pembeni na kati, na kutengeneza mfereji maalum unaopita uti wa mgongo. Uti wa mgongo ndiyo chanzo cha maelfu ya mishipa ya fahamu inayopeleka na kuleta taarifa za mfumo wa fahamu toka sehemu mbalimbali mwilini na kuzipeleka katika ubongo kwa ajili ya tafsiri. Kifupa cha kwanza na cha pili ndivyo vinavyoweza kwenda kujongeza mambo mbalimbali kama vile unaposema ndiyo na hapana kwa mwitiko wa kichwa, vile vile mifupa 12 ya mbavu hukutana na pingili za mifupa ya mgongo na kutengeneza ungio. Kazi kuu ya mgongo ni kuuwezesha mwili kuwa na umbile maalumu linalowezesha mwili kusimama, kuulinda uti wa mgongo ambao ni rahisi kudhurika, ni kiunganishi cha kichwa na kiwiliwili na vilevile mwishilio wa mgongo ndiyo kwa kiasi kikubwa unatusaidia kutembea. Install Globalpublishers Application. Search for:.

DAWA YA MAUMIVU YA VIUNGO NA MISULIComments on “Kuhisi maumivu mwilini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes:

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>